S

Walioitwa Kazini Wilaya ya Tanganyika 26-06-2026

Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika anapenda kuwatangazia waliofanya Usaili tarehe 04-05.06.2025 kwamba waliofaulu usaili wanatakiwa kuripoti kazini siku ya Jumatatu tarehe 30.06.2025. Walioitwa waripoti kazini katika Makao Makuu ya Halmashauri yaliyopo katika Kijiji cha Majalila Kata ya Tongwe.

Pakua PDF hapa.
 
Back
Top Bottom