Walioitwa Kwenye Usaili ATCL Tanzania

Walioitwa Kwenye Usaili ATCL Tanzania 04-07-2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Haya hapa majina ya walioitwa kwenye usaili ATCL Kampuni ya Ndege Tanzania kinapenda kuwataarifu wote walioomba kazi katika kada mbalimbali kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 5 Julai, 2025 hadi tarehe 10 Julai, 2025.

Wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Walioitwa Kwenye Usaili ATCL Tanzania
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom