Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Mkurugenzi Mkuu wa Bugando Medical Centre (BMC) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote waliomba kazi kuwa, usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 29 Julai, 2025 hadi 01 Agosti, 2025. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelezo yafuatayo: -
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.