Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba nafasi ya kazi ya Msaidizi wa Hesabu iliyotangazwa kupitia tangazo la tarehe 15/10/2024 lenye kumbukumbu namba Na. HB/145/03/14 kwamba usaili wa kuandika (Written interview), vitendo (Practical) na usaili wa ana kwa ana (Oral Interview) unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 15-16/05/2025 kama ifuatavyo:-
Kuitwa kwenye usaili Mbeya, Pakua PDF hapa.
Kuitwa kwenye usaili Mbeya, Pakua PDF hapa.
Nafasi za Kazi Baker Tilly Tanzania
09/05/2025
NAFASI ZA KAZI UCHAGUZI MKUU 2025 | TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI
INEC Kuajiri (Fake)