Walioitwa kwenye usaili kuanzia tarehe 23-25 Aprili 2025

Walioitwa kwenye usaili kuanzia tarehe 23-25 Aprili 2025 Interview Ajiraporta

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Walioitwa kwenye interview Wasailiwa wote mlioitwa kwenye usaili wa tarehe 23 hadi 25 Aprili 2025, mnatakiwa kuingia kwenye akaunti zenu za AJIRA PORTAL katika eneo la PERSONAL DETAILS na kisha angalia eneo la CURRENT RESIDENT REGION – Mkoa unaoonekana hapo ndio utaamua ni kanda ipi utafanyia usaili,

Mfano; Kama upo Mkoa wa Dar es Salaam, Morogoro, Pwani, Lindi na Mtwara usaili wako utafanyia Mkoa wa Dar es Salaam. Na kama upo Mkoa wa Mbeya, Songwe, Rukwa, Katavi, Ruvuma na Njombe usaili wako utafanyia Mkoa wa Mbeya.

Hakikisha unakwenda kwenye Kanda yenye Mkoa wako, Mpangilio wa mgawanyo wa kanda, vituo vya usaili kwa kada na mikoa yake upo kwenye tovuti ya ajira.go.tz. Kwenda katika kituo (Mkoa) tofauti na kanda yako HAUTAWEZA KUFANYA USAILI

Soma hapa.
Walioitwa kwenye usaili kuanzia tarehe 23-25 Aprili 2025
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom