Walioitwa Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Jimbo la Lindi Mjini

Walioitwa Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Jimbo la Lindi Mjini UCHAGUAZI MKUU 2025

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hii hapa orodha ya Walioitwa Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Jimbo la Lindi Mjini Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Lindi Mjini na Mchinga anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 07/10/2025 katika Ofisi za Kata walizoombea kuanzia saa 3:00 asubuhi.

Pakua PDF hapo chini.
Walioitwa Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Jimbo la Lindi Mjini

 

Download PDF

Similar content Most view View more
Back
Top Bottom