Hii hapa orodha ya majina Walioitwa Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Manispaa ya Bukoba Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Bukoba Mjini anawatangazia waombaji nafasi za Wasimamizi wa Vituo vya Kupiga Kura, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia Kura na Makarani Waongozaji Wapiga Kura kufika kwenye usaili tarehe 05/10/2025 katika Shule ya Sekondari Ihungo kuanzia saa 1:30 asubuhi.
Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatanishwa na Tangazo hili.
Pakua PDF hapo chini.
Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatanishwa na Tangazo hili.
Pakua PDF hapo chini.
Zingatia tarehe ya usaili.
Walioitwa Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Wilaya ya Mwanga
UCHAGUAZI MKUU 2025
Download PDF