Walioitwa kwenye Usaili Tawa na Chuo cha Ardhi 2Machi

Walioitwa kwenye Usaili Tawa na Chuo cha Ardhi 2Machi Ajira Portal

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Hii hapa orodha ya majina ya kuitwa kwenye interview walioitwa kwenye usaili leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA), Chuo Kikuu Ardhi anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 07-03-2025 hadi 08-03-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI (TAWA) MAJINA YA NYONGEZA 02-03-2025

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU ARDHI MAJINA YA NYONGEZA 01-03-2025
 

Attachments

Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom