Hii hapa orodha ya majina ya kuitwa kwenye interview Walioitwa kwenye Usaili TAWA leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 06-03-2025 hadi 08-03-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Bonyeza hapo chini kupakua PDF
Bonyeza hapo chini kupakua PDF
Nafasi za Kazi Ker & Downey Safaris
Ajira Mpya 2025
Nafasi za Kazi Benki ya CRDB Board
Ajira Mpya 2025
Attachments