Walioitwa kwenye Usaili TICD, SUA, NEMC, NBS, TAFORI, AICC, WMA, TAA, LGTI, MNH, IAA, TPSC, TBC, VETA, TBS, TALIRI

Walioitwa kwenye Usaili TICD, SUA, NEMC, NBS, TAFORI, AICC, WMA, TAA, LGTI, MNH, IAA, TPSC, TBC, VETA, TBS, TALIRI Utumishi

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Walioitwa kwenye Usaili TICD, SUA, NEMC, NBS, TAFORI, AICC, WMA, TAA, LGTI, MNH, IAA, TPSC, TBC, VETA, TBS, TALIRI

Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye interview leo Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Maendeleo ya JamiiTengeru (TICD), Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamiziwa Mazingira(NEMC), Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania(TAFORI), Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), Wakala wa Vipimo (WMA), Mamlaka yaViwanja vya Ndege Tanzania(TAA), Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH), Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Shirika laUtangazaji Tanzania (TBC), Wizara ya Maji, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA),Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) anapendakuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanziatarehe 14-04-2025 hadi 17-05-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usailihuo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

DOWNLOAD PDF HAPA
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom