Haya hapa majina ya walioitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama Kufuatia tangazo la nafasi za ajira mpya zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama tarehe 03 Juni, 2025, napenda kuwafahamisha waombaji wa nafasi za kazi kwa kada mbalimbali kuwa, baada ya uchambuzi wa kina waombaji waliochaguliwa kuingia kwenye usaili wa hatua ya kwanza watasailiwa kwa nafasi hizo kwa tarehe, muda na vituo vilivyooneshwa kwenye orodha ya majina ya wasailiwa iliyoambatishwa na Tangazo hili. Inasisitizwa kwamba, kila msailiwa atafanya usaili kwenye kituo alichopangiwa na si vinginevyo.
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa
Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs 13-07-2025
AJIRA PORTAL