Wanafunzi waliopangiwa shule 2025

Wanafunzi waliopangiwa shule 2025 Kidato cha Tano

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Angalia hapa Wanafunzi waliopangiwa shule 2025 kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2024 na waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2025 katika shule mbalimbali nchini Tanzania na wengine kujiunga na vyuo vya kati.

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tana na Vyuo vya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mwaka 2025, ni kutoka Shule· za Serikali, zisizo za Serikali, watahiniwa wa kujitegemea waliofanya mtihani wakiwa chini ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima na waliosoma nje ya nchi ambao matokeo yao yamefanyiwa ulinganifu wa Baraza la Mtihani Tanzania (NECTA).

Angalia selection hapa.

Chagua mkoa wako hapa.
Wanafunzi waliopangiwa shule 2025
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom