- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Haya hapa maekezo aliyoyatoa waziri Wa Sanaa na Michezo Tanzania juu ya kuvunjwa viti Benjamin mkapa.
MAELEKEZO ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi kufuatia uharibifu wa viti uliofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika kati ya Simba Sports Club ya Tanzania na CS Sfaxien ya Tunisia, Desemba 15, 2024.
Pia jeshi la Polisi lilitoa ufafanuzi juu ya tukio Hilo la kuvunjwa viti takribani 250 katika uwanja wa Benjamini mkapa Tanzania.
Polisi wamethibitisha kutokea vurugu Uwanja wa Mkapa na kusababisha Viti vya Bluu 156 na Orange 100 kung'olewa.