Advert
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi GST na VETA Tanzania tuma maombi mapema 24-07-2026 Pakua PDF hapa
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs 24-07-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi...
Nafasi za kukusanya Mapato Jiji la Arusha 23-07-2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kukusanya Mapato Jiji la Arusha Kwa kuzingatia Mwongozo wa Kujitolea katika Utumishi wa Umma wa Mwaka 2025 ukisomwa Pamoja na Mwongozo wa Usimamizi wa...
Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kazini Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya...
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WIZARA YA ELIMU 18-07-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania...
Walioitwa kwenye Usaili Mji Njombe 17-07-2026
Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe anapenda kuwataarifu Waombaji wa kazi waliopo kwenye orodha hapa chini kuwa, usaili wa...
Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa...
Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika chuo kikuu cha mwalimu nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MNUAT) uliofanyika tarehe 13/07/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na...
Mtakumbuka kwamba kati ya Mwezi Februari na Juni, 2025 Mamlaka ya Mapato Tanzania iliendesha zoezi la usaili ili kujaza nafasi 1,596 zilizokuwa wazi. Baada ya mchakato ule, waomba kazi waliofikia...
Hili hapa tangazo la kuitwa kazini Taasisi mbalimbali za Umma 09-07-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya...