Ajira na Nafasi za kazi

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Msaada na maswali ya system analyst utumishi au taasis yoyote ya serikali na je kulikuwa na practical interview ?
Replies
0
Views
72
Habari, naomba msaada na maswali ya usaili system analyst au mtu yeyote mweny exposure ya interview zake ni sehemu zipi za kupitia haswa , sio lazima utumishi ata taasisi zengine za serikali
Replies
0
Views
30
Hii hapa orodha kamili ya Kidato cha Nne Walioitwa kwenye Usaili wa Zimamoto 2025 Bonyeza hapo chini kupakua PDF
Replies
0
Views
12K
TAARIFA YA KUITWA KWENYE USAILI, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anayo furaha kukujulisha kuwa umechaguliwa kwenye orodha ya walioteuliwa (SHORTLISTED) kwa nafasi uliyotuma...
Replies
1
Views
22K
Hili hapa Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto Tanzania 2025-26 Kuona majina ya walioitwa orodha kamili ta vijana waliochaguliwa kufanya usaili pamoja na makundi hayo inapatikana...
Replies
0
Views
22K
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mikoa mbalimbali Kada za Ualimu 2025 kutoka ajira portal katika ajira za walimu na vituo vya interview WALIOITWA KWENYE USAILI MIKOA MBALIMBALI...
Replies
6
Views
29K
Hizi hapa hatua kwa hatua namna ya kutuma maombi, kujisajili, kufungua account, kuweka vyeti, huduma kwa wateja, jinsi ya kuandika cover letter, mfano wa barua ya maombi, mfano wa CV zimamoto...
Replies
1
Views
28K
Yasiniomary
Huu hapa Mfano wa Fomu ya Uthibitisho wa Siha Njema Kutoka kwa Mganga wa Serikali Ajira Zimamoto 2025 nafasi za kazi zilizo tangazwa mwezi huu februari siku chache zilizo pita. Download hapo chini...
Replies
1
Views
9K
sospeter
Habar za wakat huu ndug zang. Kwa majina naitwa David elim kidato Cha nne maisha dar es salaam naulizia nafas za kazi kwa ngaz ya elim yangu ahsanten.
Replies
4
Views
305
Hili hapa tangazo la Ajira mpya Brac Maendeleo, Watanzania wenye sifa wanahitajika kutuma maombi na kujaza nafasi hizi, Hivyo wahi sasa na utume maombi mapema kabla ya Deadline
Replies
1
Views
28K
Back
Top Bottom