Hili hapa tangazo la Ajira mpya Brac Maendeleo, Watanzania wenye sifa wanahitajika kutuma maombi na kujaza nafasi hizi, Hivyo wahi sasa na utume maombi mapema kabla ya Deadline
Muktasari: Nafasi hizo ni za ajira kada mbalimbali huku mwisho wa kuomba ukiwa ni Februari 20, 2025 Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza nafasi 350 za...
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi KNAUF Tanzania Februari 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo. Bonyeza...
Haya hapa maswali ya Usaili mbalimbali kutoka BRAC Tanzania Finance kujiandaa na interview itakayo fanyika siku chache zijazo. Kama kuna makosa au unataka kuongezea maswali comment hapo chini au...
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Moshi Jonathan Kabengwe, ametangaza kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30, 2025 kwa...
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi TAASA Tanzania 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo.
Habari Wakuu. Husika na Kichwa tajwa hapo juu. Nina maswali: Maswali ya Utumishi kwenye usaili wa mahojiano huwa mangapi...!? Na huwa kwa muda gani..!? Ahsante.
Habari zenu Wakuu...!! Husika na kichwa hapo juu. Katika kufuatilia matangazo mbalimbali ya kuitwa kwenye usaili, nimekutana na jambo fulani kidogo limenichanganya. Yafuatayo ni maswali niliyo...