Ajira na Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Nafasi za Kazi Alistair Group Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Alistair Group 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo. Bonyeza hapa...
Nafasi za Kazi REPOA Tanzania Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi REPOA Tanzania 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo. Pakua PDF hapo.
Hili hapa tangazo la Nafasi 3 za Ajira Mpya Mwananchi Communications 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo...
Nafasi za Kazi Epha Hospital Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Epha Hospital 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo.
Makamu Mkuu wa Chuo kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe...
Hii hapa Ratiba ya Usaili kwa Kada Mbalimbali Mwezi Machi 2025 Ajira Portal baada ya mabadiliko ya interview utumishi. Pakua PDF hapo chini.
Mabadiliko ya Tarehe za Usaili kwa Kada Mbalimbali Ajira Portal Waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa kuandika kwa njia ya mtandao kwamwezi Machi 2025, wanajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya...
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini walimu, Afya na kada mbalimbali leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali...
Ajira za Walimu Simbachawene na Mkenda Wakutana na Viongozi wa NETO. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema Serikali...
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye interview Tangazo la kuitwa kwenye usaili MDA's NA LGA's 12-03-2025 leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs &...