Elimu
Ikiwa una baadhi ya masuala ya Chuo/Shule na ungependa kushiriki nasi, yachapishe hapa!
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Shule ya msingi
Makala mbalimbali kuhusu elimu ya darasa la saba pia darasa la nne
- Threads
- 89
- Messages
- 89
Shule za Sekondari
Makala kuhusu Shule za Sekondari
- Threads
- 83
- Messages
- 83
Hivi n kwanini wametangaza tarehe za usail wa walimu afu wakasitisha tena kuna nn kimejifcha hapo mwenye kuelewa atujuze
Matokeo ya Darasa la Saba 2024: Jinsi ya Kukagua Matokeo Yako ya NECTA Haraka na Rahisi!" Kila mwaka, matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2024 yanapokaribia kutangazwa, moyo wa wazazi, walimu na...
- Question
Maendeleo ya sayansi na teknolojia Mahitaji ya jamii. Muungano wa nchi mbili tofauti Masuala mtambuka Kuwepo kwa mapungufu mengi katika mtaala unaotumika.
Utangulizi: Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu leo (Jumapili, Oktoba 20, 2024) imetangaza Awamu ya Tatu (Batch Three) yenye wanafunzi 19,345 wa shahada ya awali waliopangiwa mikopo yenye...
- Featured
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimuya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa udahili katikaAwamu ya Tatu na ya mwisho kwa ngazi ya Shahada ya...
- Featured
- Question
Kiakili Kusoma silabi Kufikili kiyakinifu Kukuza msamiati na lugha Kutatua matatizo Kimwili Kuimarisha misuli midogo Kutembeza shingo na macho Kiroho Kukuza moyo wa ushindani Uvumilivu Kuhusianisha
- Featured
- Question
Dadu Karata Kibao fumbo Maumbo Mkeka wa rangi Mizani Kibao cha T Namba na idadi ya vitu Mti wa silabi Shanga na namba Vibao vya namba
- Featured
Naomba kujua maswali yanayoulizwa mara kwa mara katika usaili elimu wa awali
- Featured
- Article
Upimaji wa fani za elimu ya amali utafanyika kwa kuzingatia miongozo ya mitihani, taratibu na miongozo ya utahini na utunuku ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi...