Kitabu hiki kimeandaliwa ili kumwezesha mkufunzi na mwanachuo wa ualimu ngazi ya cheti kuelewa mambo muhimu ya kufundisha na kujifunza. Kuandaliwa kwa muhtasari huu kunatokana na uamuzi wa...
Kitabu cha notes za History Form Two (Kidato cha Pili) ni mojawapo ya vitabu muhimu kwa wanafunzi wa sekondari nchini Tanzania. Kitabu hiki kimeandaliwa kwa kuzingatia mtaala wa elimu wa Tanzania...