Recent content by atosi mohammed
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
-
A
Nafasi za kazi za EWURA CCC
Habari za usiku Naomba kuuliza hv EWURA CCC walitoa tangazo la kazi mwezi uliosha deadline ilikuwa tar 30/03/2026 je wameshaitwa watu kufanya interview ? maan kila nikijaribu kufanya cross checking nipate update juu ya hili nashindwa kupata taarifa Msaada kwa hili wapendwa- atosi mohammed
- Thread
- Replies: 2
- Forum: Msaada