Recent content by David255
Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
-
Kutoa cheti cha Degree ajira portal kuweka cheti udereva niombe kazi.
Swali: mm nimesoma Degree na nimejisajiri ajira portal ninataka nitoe cheti cha Degree niweke cheti cha taaluma ya udereva nimejaribu kutumia njia ya kwaida nimeshindwa naomba msaada wa ushauri labda nitumie njia gani kuweza kulifanikisha hili