Recent content by @F2 Generation
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
-
Kuweka vyeti vya form four na six kwenye mfumo wa Takukuru ni lazima?
Wadau Habari za jioni Samahani naomba msaada kuuliza kwa wadau ambao tayari wameshatuma application za TAKUKURU kama ni lazima kujaza au ku upload vyeti vya form four na six ikiwa tayari ume upload cheti cha chuo kikuu- @F2 Generation
- Thread
- Replies: 1
- Forum: Msaada
-
NAMNA YA KUTENGENEZA CV
Hellow everybody, sorry jaman hivi ni kwa namna gani naweza tengeneza CV yangu after finishing university? Nachohitaji jamani sitaki yale masuala sijui umemaliza chuo unaenda mara stationary ndiyo wakuombee kwa kila tangazo la kazi litakalokuwa linatangazwa. Hapana nahitaji niwe nayo kwenye...- @F2 Generation
- Thread
- Replies: 1
- Forum: Msaada