Recent content by Finn Rollins
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
-
Academic Qualifications Ajira Portal
Sorry habari za jioni Eti kuna namna ya ku delete academic qualification Mimi nimeweka university degree moja Ila imeji duplicate na kutokea mbili zinafanana na ni system imefanya hivyo sio Mimi. Inaonekana Nina degree mbili za chuo, mda na vyeti sawa. How do I fix it coz there is no delete...- Finn Rollins
- Thread
- Replies: 1
- Forum: Msaada
-
Kufuta academic qualification Kwenye Ajira portal
Habari za mchana guys Sorry for usumbufu Nilikuwa naweka academic qualification ya bachelor Kwenye app ya Ajira portal ya my profile asa kuweka tu certificate and transcript ikajidouble imeonyesha Nina degree 2 afu zote ni sawa Yaani miaka vyeti everything na Hamna sehemu ya ku delete Naomba...- Finn Rollins
- Thread
- Replies: 1
- Forum: Msaada