Recent content by jesto123

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
  1. JINSI YA KUPATA HAYO MATANGAZO YA KAZI KWA MFUMO WA BARUA

    JINSI YA KUPATA HAYO MATANGAZO YA KAZI KWA MFUMO WA BARUA

    He'll napenda kuliza unayapataje matangazo ya kazi kwa mfumo wa barua. Kwa sababu mara nyingi inatumwa link lakini ukibonyeza haiji moja kwa moja barua isipokuwa yanakuja malekezo tu ambayo hayajakizi taarifa nzima. Naomba nipate msaada wa kuelekezwa. Ahsante.
Back
Top Bottom