Recent content by Revoo

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Msimamo Wa Kundi La Yanga Kundi A Baada Ya Mchezo Wa Jana Mc Alger 1 Vs 0 Tp Mazembe TotalEnergies CAFCL

    Msimamo Wa Kundi La Yanga Kundi A Baada Ya Mchezo Wa Jana Mc Alger 1 Vs 0 Tp Mazembe TotalEnergies CAFCL 2024/2025

    Huu hapa msimamo wa kundi A analoshiriki Yanga ya Tanzania Kwenye Michuano ya Kombe la Klabu Bingwa Africa Ngazi ya Makundi. Yanga inahitaji kushinda Kwenye Mchezo Wao Dhidi ya Al Hilal Omdurman Ya Sudan ugenini ili kufufua matumaini ya kufuzu hatua inayofuata robo fainali.
  2. Matokeo Ya Mechi: Mc Alger 1 Vs 0 Tp Mazembe Michuano Ya Klabu Bingwa Africa TotalEnergies CAFCL

    Matokeo Ya Mechi: Mc Alger 1 Vs 0 Tp Mazembe Michuano Ya Klabu Bingwa Africa TotalEnergies CAFCL 2024/2025

    MC Alger ushindi muhimu sana kwao katika harakati za kutinga robo fainali, wamestahili alama 3 dhidi ya TP Mazembe kwa ustadi mzuri wa utendaji, Pointi nane kabatini kwa MC Alger Tp Mazembe walikuwa na muundo wa 4-1-4-1 wakiwa na mpira ili kutengeneza usawa mzuri katika kuzuia na kushambulia...
  3. Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Ugerumani Kwa Michezo Itakayochezwa Ndani Ya Wiki Hii, Bundasiliga

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Ugerumani Kwa Michezo Itakayochezwa Ndani Ya Wiki Hii, Bundasiliga 2024/2025

    Hii hapa ratiba ya Ligi kuu Ugerumani yenye michezo minne itakayopigwa ndani ya wiki hii kuanzia Leo January 10, 2025 hadi Jumapili ya January 12, 2025.
  4. Ratiba Kamili Ya Ligi Kuu Ya Hispania Katika Mzunguko Wa Kumi na Tisa Laliga

    Ratiba Kamili Ya Ligi Kuu Ya Hispania Katika Mzunguko Wa Kumi na Tisa Laliga 2024/2025

    Hii hapa michezo yote ya Laliga Kwenye mzunguko wa Kumi na Tisa inayoanza Leo Ijumaa ya January 10, 2025 Hadi January 12, 2025 Jumapili.
  5. Mpango Wa Yanga Sc Kumtoa Baleke Kwa Mkopo Namungo Fc Umeshindikana

    Mpango Wa Yanga Sc Kumtoa Baleke Kwa Mkopo Namungo Fc Umeshindikana

    Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Jean Othos Baleke amegoma kwenda kwa mkopo katika klabu ya Namungo Fc na anataka kulipwa chake aondoke Yanga... Yanga hawana mpango na nyota huyo wa kimataifa wa DR Congo 🇨🇩 na kinachokwamisha kuvunja mkataba wake ni baadhi ya vipengele vilivyopo kwenye mkataba wake.
  6. Kuelekea Mchezo Wa Bravo Do Maquis Dhidi Ya Simba Sports Club TotalEnergies CAFCC

    Kuelekea Mchezo Wa Bravo Do Maquis Dhidi Ya Simba Sports Club TotalEnergies CAFCC 2024/2025

    Kuna uwezekano mkubwa Bravos do Maquis wakaingia kwenye mfumo wa Simba kama wataamini walistahili kushinda mchezo wao wa awali. Ukweli ni kwamba Simba iliyocheza dhidi ya Bravos hapa nyumbani na hii iliyoshinda ugenini dhidi ya Sfaxien ni Simba mbili tofauti kabisa. Nafikiri Bravos wana mechi...
  7. Hesabu Za Yanga Sc Kufuzu Hatua Ya Robo Fainali Ni Rahisi Kabisa TotalEnergies CAFCL

    Hesabu Za Yanga Sc Kufuzu Hatua Ya Robo Fainali Ni Rahisi Kabisa TotalEnergies CAFCL 2024/2025

    Kukusanya pointi 6 katika mechi mbili zilizobaki bila kuangalia matokeo ya kupande mwingi, hapo watakuwa wametinga robo fainali. Kinachohitajika kwa Yanga SC ni kupambana zaidi uwanjani ili kuzipata na inawezekana ikiwa Al Hilal Omdurman walipambana na kupata alama 3 kwa Mkapa na possible Yanga...
  8. Waamuzi Kutoka Burkina faso Kuamua Mechi Ya Bravo Do Maquis Dhidi Ya Simba Sports Club TotalEnergies CAFCC

    Waamuzi Kutoka Burkina faso Kuamua Mechi Ya Bravo Do Maquis Dhidi Ya Simba Sports Club TotalEnergies CAFCC 2024/2025

    Kwa mujibu wa uteuzi wa CAF, mechi ya Simba Dhidi Ya Bravo itakayopigwa January 12, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni kwa saa za Angola ambazo ni sawa na saa 1:00 usiku kwa Afrika Mashariki na Kati itaamuliwa na waamuzi kutoka Burkina Faso. Waamuzi wa mechi ya Bravos na Simba wanatarajiwa kuwa, Jean...
  9. Ligi Kuu Nbc PL Tanzania Inazidi Kupaa Tu Africa

    Ligi Kuu Nbc PL Tanzania Inazidi Kupaa Tu Africa

    Maneno ya Kocha Mkuu wa zamani wa Wydad Casablanca, Esperance de Tunis, Raja Club Athletic na Timu ya Taifa ya Tunisia Faouzi Benzart. "Sitoshangaa Mwaka huu katika orodha ya Ligi bora Afrika, Tanzania ikatushusha na kukaa juu yetu.. Ligi yetu ya Tunisia vilabu vingi vinazidi kuwa hoi kila...
  10. Yahya Zayd Mchezaji Wa Azam Fc Afichua Sababu Za Kushindwa Ismailia Nchini Misri

    Yahya Zayd Mchezaji Wa Azam Fc Afichua Sababu Za Kushindwa Ismailia Nchini Misri

    Mchezaji wa muda mrefu wa Azam FC Yahya Zayd amefichua sababu zilizopelekea kurejea nyumbani baada ya kupata fursa ya kucheza kwenye klabu ya Ismailia ya Misri lakini hakufanikiwa kudumu kwa muda mrefu kwenye klabu hiyo. Zayd amesema, wengi wanadhani ni sababu za ndani ya uwanja pekee ndio...
  11. Ratiba Ya Mechi Za Mzunguko Wa Tano Kwenye Makundi Ya TotalEnergy CAFCL

    Ratiba Ya Mechi Za Mzunguko Wa Tano Kwenye Makundi Ya TotalEnergy CAFCL 2024/2025

    Hii hapa ratiba kamili ya mechi zitakazopigwa Kwenye Ungwe ya Tano katika michuano ya Klabu Bingwa Africa. Michezo hiyo itaanza kurindima Leo Ijumaa ya January 10, 2025 Hadi jumapili ya January 12, 2025.
  12. Florent Ibenge Kocha Mkuu Wa Al Hilal Omdurman Ya Sudan

    Florent Ibenge Kocha Mkuu Wa Al Hilal Omdurman Ya Sudan

    Florent Ibenge ni miongoni mwa Makocha wa kisasa ambao huwa wanaacha matokeo ya uwanjani yaongee zaidi kuliko yeye ndio maana mtego wake wa kwanza huwa ni kuwaheshimu wapinzani wake. Mechi ya kwanza na Yanga hapa Dar aliwaheshimu Yanga nje na ndani ya uwanja...Yanga wakajisahau, wakamuona ni...
  13. Simba Rasimi Nchini Angola

    Simba Rasimi Nchini Angola

    Klabu ya Simba tayari wamewasili salama nchini Angola Kwaajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya wenyeji wao Bravos, mchezo huu utachezwa siku ya jumapili majira ya saa 1:00 usiku kwa saa za Tanzania.
  14. Zouzou Mwingine Apatikana Azam Fc

    Zouzou Mwingine Apatikana Azam Fc

    Azam FC wamekamilisha usajili wa mlinzi wa kimataifa wa Ivory Coast Zouzou Landry kutoka klabu ya Afad Djakanou ya Ivory Coast kwa mkataba wa miaka minne. kimahesabu Zozuou anaenda kuziba nafasi ya Yannick Bangala ambaye ametimka kikosini hapo.
  15. Ligi Kuu Ya Africa Kusini Na Maajabu Yake

    Ligi Kuu Ya Africa Kusini Na Maajabu Yake

    Ukifatalia kwa ukaribu ligi kuu nchini Afrika kusini PSL utapata kufahamu vilabu na madaraja yake kama vile vigogo( Orlando Pirates, Kaizer na Mamelodi Sundowns) Halikadhalika kuna zile timu za wastani daraja la kati zenyewe zipo kwa ajili ya kupambania nafasi za kati au hata kufanikiwa kuingia...
Back
Top Bottom