Recent content by Shaidu
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
-
S
Personal details na vyeti kwenye ajira portal majina yamekosewa spelling kwenye NIDA
NIDA: Shahidu Zuberi Ramadhan Vyeti: Shaidu Zubery Ramadhan -
S
Personal details na vyeti kwenye ajira portal majina yamekosewa spelling kwenye NIDA
Habari, Nina swali kidogo: majina yangu kwenye NIDA yana tofauti spelling kidogo na vyeti. Je, hii inaweza kuniletea shida kwenye Ajira Portal au naweza kuapply hivyo hivyo? Ushauri wenu tafadhali Vyeti viko sawa vyote tatizo ni NIDA tu spelling