Sia's latest activity
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
-
SMamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) iliendesha Mitihani ya Taifa ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa Msimu wa Mwezi...
-
SSia replied to the thread Msaada kuhusu nafasi za kazi Dodoma mjini..Angalia kwenye channel @Gordon Murray
-
SSia replied to the thread Backbone ni kampuni gani.Hata sijui mkuu, wewe nenda ukifika utajua zaidi. @anthonysilayo
-
SSia replied to the thread Kwenye tangazo la cocacola paid internship 2026 sijaona deadline na link ya kutuma maombi.Link ipo mwisho kabisa mwa maelezo @Dotto Nestory
-
SSia replied to the thread ANY IDEA ABOUT TFS INTERVIEW.Yakipatikana yatatumwa, Ila unaweza pitia hapa https://wananchiforum.com/threads/maswali-ya-usaili-tfs-2019-2025.1469/ @Regnald1215
-
SSia replied to the thread Msaada naombeni mnijuze kidogo unapoambiwa utume cover letter kwenye email.Pitia mwongozo huu hapa https://wananchiforum.com/threads/jinsi-ya-kuandika-cover-letter-2025.1048/ @SHEHOZA
-
SSia replied to the thread Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mikoa mbalimbali Kada za Ualimu 2025.Login kwenye account yako
-
SSia replied to the thread Ofisi za zaman za sekretariet ya ajira zilizopo posta (dar).Zipo kivukoni pale. Ukishuka tu kwenye mwendokasi ulizia ofisi za Utumishi. @Mwakalobo
-
SSia replied to the thread Namba ya huduma kwa wateja NIDA Tanzania.Wilayani kwako kuna ofisi zao nenda watakusaidia.
-
SSia replied to the thread Personal details na vyeti kwenye ajira portal majina yamekosewa spelling kwenye NIDA.Hapo tafta DEEDPOLL
-
SSia replied to the thread Aircraft Marshaller.Nikipata nitatuma hapa @Mgendi Ibrahimu
-
SSia replied to the thread Personal details na vyeti kwenye ajira portal majina yamekosewa spelling kwenye NIDA.Andika majina full yalivyo kwenye vyeti na kwenye NIDA ili tuone utofauti. @Shaidu
-
SSia replied to the thread Msaada kwenye kuapply NGOs.Nahisi ni wewe niliekuelekeza whatsapp na ukafanikisha au sio? Ulikuwa una apply UNESCO! @Riam Shamte
-
SSia replied to the thread Kutoa cheti cha Degree ajira portal kuweka cheti udereva niombe kazi..Huwezi kutoa mkuu ukishaweka taarifa hizo. Labda ungekuwa hujasomea hicho kitu ndio huwa wanakusaidia kuondoa. @David255
-
SHaya hapa Maswali ya Usaili Committee Clerk unayoweza kutana nayo katika interview ya utumishi au ajira portal au Taasisi nyingine...

