Recent content by Sia
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
-
MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI KWA KADA AMBAZO USAILI WAKE ULIPANGWA KUFANYIKA TAREHE 26 AGOSTI, 2026 AJIRA PORTAL
MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI KWA KADA AMBAZO USAILI WAKE ULIPANGWA KUFANYIKA TAREHE 26 AGOSTI, 2026 -
MABADILIKO YA ENEO LA USAILI WA VITENDO NA MAHOJIANO KADA YA ARTISANS - CIVIL II (RAILWAY TRACK) AJIRA PORTAL
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, anawajulisha waombaji kazi wa kada iliyoainishwa kwenye tangazo hili kuwa, kuna mabadiliko ya eneo la kufanyia usaili wa vitendo na usaili wa mahojiano. Usaili wa vitendo na mahojiano utafanyika katika maeneo yaliyoainishwa kwenye jedwali... -
MATOKEO YA UCHAGUZI WA UDAHILI KUPITIA MFUMO WA UDAHILI WA PAMOJA (CAS) KWA KOZI ZA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027 - AWAMU Y NACTVET 2026
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linautaarifu umma kuwa matokeo ya uchaguzi wa awamu ya kwanza kwa waombaji wa programu za Afya na Sayansi Shirikishi kwa mwaka wa masomo 2026/2027 yanatangazwa rasmi leo tarehe 31 Julai, 2026. -
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 04-08-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Afya, Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori (CAWM), Kituo cha Zana za Kilimo na... -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAFIA 30-07-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mbili (2)kama ilivyoainishwa katika tangazo hili; Pakua PDF hapa... -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA 04-08-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 2 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili; Pakua PDF hapa... -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU ARDHI 28-07-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Chuo Kikuu cha Ardhi 28-07-2026 Pakua PDF hapa https://www.ajira.go.tz/baseattachments/advertisementattachments/20262807231856TANGAZO%20LA%20KAZI%20ARDHI%20UNIERSITY.pdf -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 28-07-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Taasisi mbalimbali za Umma 28-07-2026 Pakua PDF hapa https://www.ajira.go.tz/baseattachments/advertisementattachments/20262807311845advertisement_13839_13840_13841%20(2).pdf -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI OFISI YA MKUU WA MKOA KAGERA 27-07-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la kuitwa kazini Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 31-03-2026 na tarehe 13-04-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 27-07-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la kuitwa kazini Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 28-05-2025 na tarehe 22-07-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika... -
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WAKALA WA VIPIMO 27-07-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA) anapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za kujitolea zilizotangazwa tarehe 06 Juni, 2026 kuwa, usaili utafanyika tarehe 07, Agosti, 2026 saa 1:30 asubuhi katika Ofisi za Wakala wa Vipimo Makao Makuu Dodoma... -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAFIA 23-07-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 4 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili; Pakua PDF hapa... -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 24-07-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi GST na VETA Tanzania tuma maombi mapema 24-07-2026 Pakua PDF hapa https://www.ajira.go.tz/baseattachments/advertisementattachments/20262407341102advertisement_13755_13766_13767%20(1).pdf -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs 24-07-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 160 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili; Pakua PDF hapa... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 21-07-2026 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kazini Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21-07-2025 na tarehe 29-06-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama...