Ajira Portal Live Chat, Chat na Ajiraportal

Ajira Portal Live Chat, Chat na Ajiraportal Ajira Help Desk

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Ajira Portal Live Chat, Chat na Ajiraportal Kwa sasa unaweza kujihudumia katika Ajira Portal, kureset password wewe mwenyewe, kuomba kuondolewa Academic Level au cheti kilichojazwa kimakosa, kuchat na mtoa huduma wetu wakati wowote na kutatuliwa changamoto yako.

Karibu Tukuhudumie kupitia Live chat, fungua Ajira Portal, bofya kitufe Cha message kilichopo upande wa chini kulia kwako, Kisha utaweza kujihudumia mwenyewe ama kuchat na mtoa huduma wetu na kutatua changamoto Yako. Aidha Kuomba kuondolewa cheti au academic level iliyojazwa kimakosa nenda sehemu ya Academic Qualifications kisha sehemu ya cheti husika bofya kitufe cha "Request Removal" kisha watalamu wetu watafanyia kazi ombi hilo.

Chat na ajira portal hapa
Ajira Portal Live Chat, Chat na Ajiraportal


Ajira Portal Live Chat, Chat na Ajiraportal
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom