W whima New member Joined Apr 22, 2026 Messages 1 Apr 22, 2026 #1 habari naomba kuuliza walioenda usahili wakala wa huduma za misitu kada yoyote ile nasikia wakisema miaka 25 au 28 ukizidi ata wiki moja unatolewa ni kweli A Matokeo ya Oral Interview huwa yanatoka baada ya mda Gani L Ajira za takukuru walimu hazituhusu?
habari naomba kuuliza walioenda usahili wakala wa huduma za misitu kada yoyote ile nasikia wakisema miaka 25 au 28 ukizidi ata wiki moja unatolewa ni kweli A Matokeo ya Oral Interview huwa yanatoka baada ya mda Gani L Ajira za takukuru walimu hazituhusu?
S Sia Moderator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 20, 2024 Messages 1,513 Apr 22, 2026 #2 Hatujui kwa kweli Upvote 0 Downvote