Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Manispaa ya Kinondoni Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02 Septemba 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.
Pitia: Kuitwa kazini Ubungo
Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.
Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal
Kuhusu Kinondoni:
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ni moja kati ya Halmashauri tano (5) zinazounda Mkoa wa Dar es Salaam. Zingine ni Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, Ubungo, Kigamboni na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02 Septemba 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.
Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu
Waombaji wote waliofanikiwa wanatakiwa kuchukua barua zao za kupangiwa kituo cha kazi ndani ya siku saba kuanzia tarehe ya tangazo hili. Barua zinapatikana katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, zilizopo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) katika majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi. Barua ambazo hazitachukuliwa ndani ya muda uliowekwa zitatumwa kupitia anuani za posta za wahusika.Pitia: Kuitwa kazini Ubungo
Taarifa Muhimu kwa Waombaji
Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.