Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Arusha Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 03 Agosti 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.
Pitia: Kuitwa kazini Pwani
Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.
Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal
Kuhusu Arusha: Halmashauri ya Jiji la Arusha iko kaskazini mwa Tanzania, chini ya Mlima Meru kwenye urefu wa mita 1,500 juu ya usawa wa bahari. Jiji la Arusha, linalokua kwa kasi, limekuwa lango kuu kwa vivutio maarufu vya utalii Afrika Mashariki kama vile Hifadhi za Taifa na utamaduni wa Wamasai; sasa pia ni kituo maarufu kwa mikutano ya kimataifa, makongamano, na warsha. Kwa miaka kadhaa, Arusha imekuwa kituo cha biashara ya Tanzanite; jiwe la thamani la kipekee linalochimbwa kaskazini mwa Tanzania pekee.

Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu
Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.
Taarifa Muhimu kwa Waombaji
Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal