What's new
Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Mbeya

Ajira Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Mbeya 31 Oktoba 2024

Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Mbeya Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.

Kuitwa kazini utumishi na ajira portal
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 07 December 2023 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.

Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu​

Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Mbeya

Pitia: Kuitwa kazini Kigoma
Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.

Taarifa Muhimu kwa Waombaji​

Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.

Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal

Kuhusu Mbeya: Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mikoa minne (4) iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Mikoa mingine ni Rukwa, Iringa na Ruvuma. Mkoa wa Mbeya ulianzishwa mwaka 1961 na ulikuwa ukijulikana kwa jina la ‘Southern Highland Province’ kwa kujumuisha baadhi ya maeneo ya mikoa ya Iringa na Rukwa. Mkoa una eneo la km. za mraba 63,617 Kati ya hizo km. za mraba 61,783 ni za nchi kavu na km. za mraba 1,834 ni eneo la maji.
Author
Gift
Downloads
1,378
Views
1,722
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Back
Top