Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Kigoma

PDF Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Kigoma 31 Oktoba 2024

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Kigoma Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.

Kuitwa kazini utumishi na ajira portal
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02 Septemba 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.
Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Kigoma

Pitia: Kuitwa kazini PSRS

Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu​

Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.

Taarifa Muhimu kwa Waombaji​

Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.

Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal

Kuhusu Kigoma: Mkoa wa Kigoma ni miongoni mwa Mikoa ya Tanzania Bara yenye ardhi yenye rutuba ya kutosha, uoto wa asili na hali ya hewa ya kuvutia. Mkoa pia unayo bionuai adimu yenye kuvutia watalii kutoka ndani na nje ya nchi. Ipo milima, mabonde, Mito na Ziwa Tanganyika ambalo linashika nafasi ya pili duniani kwa kuwa na kina kirefu cha maji.
Author
Gift
Downloads
2,023
Views
2,559
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Similar content Most view View more
Back
Top Bottom