What's new
Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Mwanza

Ajira Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Mwanza 02 Novemba 2024

Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Mwanza Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.

Kuitwa kazini utumishi na ajira portal
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 09 Desemba 2023 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.
Pitia: Kuitwa usaili NEC

Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu​

Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Mwanza

Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.

Taarifa Muhimu kwa Waombaji​

Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.

Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal

Kuhusu Mwanza: Mkoa wa Mwanza ulianzishwa rasmi mwaka 1963 ukiwa na wilaya nne za Ukerewe, Geita, Mwanza na Kwimba. Mwaka 1972 baada ya sera ya madaraka mikoani wilaya zaidi zilianzishwa kwa kuanza na Magu mwaka 1974. Wilaya ya Sengerema ilianzishwa mwaka 1975 ambapo awali ilikuwa ni tarafa mojawapo ya wilaya ya Geita.
Author
Gift
Downloads
1,683
Views
2,338
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Back
Top