What's new
Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Njombe

Ajira Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Njombe 04 Novemba 2024

Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Njombe Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.

Kuitwa kazini utumishi na ajira portal
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 09 Septemba 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.
Pitia: Nafasi za kazi AKO Group Tanzania

Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu​

Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Njombe

Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.

Taarifa Muhimu kwa Waombaji​

Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.

Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal

Kuhusu Njombe: Mkoa wa Njombe ulianzishwa tarehe 1 Machi 2012 na kutangazwa katika Gazeti Rasmi la Serikali Na. 9 chini ya Amri Na. 72. Kwa kutekeleza mamlaka aliyokabidhiwa Rais kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 2(2), Mkoa wa Njombe ulianzishwa baada ya uamuzi wa Rais wa kugawanya Mkoa wa Iringa kuwa mikoa miwili ya Njombe na Iringa.
Author
Gift
Downloads
1,259
Views
1,597
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Back
Top