What's new
Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Pwani

PDF Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Pwani 2024-10-30

Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Pwani Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.

Kuitwa kazini utumishi na ajira portal
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02 Septemba 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.
Pitia: Kuitwa kwenye usaili Utumishi
Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Pwani

Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu​

Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.

Taarifa Muhimu kwa Waombaji​

Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.

Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal

Kuhusu Pwani: Mkoa wa Pwani ulikuwa sehemu ya Mkoa wa Mashariki ambao makao yake makuu yalikuwa Morogoro. Baada ya Uhuru mwaka 1961, Serikali ilianzisha mfumo wa mikoa ambao ulihitimisha mfumo wa majimbo. Baada ya kuanzishwa kwa mfumo wa mikoa, eneo la sasa la mkoa wa Dar es Salaam lilikuwa sehemu ya Mkoa wa Pwani, na makao makuu yake yalikuwa Dar es Salaam.
Author
Gift
Downloads
1,597
Views
2,181
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Back
Top