Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Shinyanga Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02 Septemba 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.
Pitia: Kuitwa kazini Mara
Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal
Kuhusu Shinyanga: Mkoa wa Shinyanga ulikuwa ni sehemu ya Mkoa wa Ziwa (Lake Province) mpaka mwaka 1963 ulipoanzishwa rasmi ukiwa na Wilaya tatu (3) ambazo ni Maswa, Shinyanga na Kahama iliyomegwa kutoka Mkoa wa Tabora. Kuanzia Mwaka 1972 hadi mwaka 1982 Serikali ya Mkoa ilikuwa katika mfumo wa Madaraka Mikoani ambapo vyama vya ushirika, utemi na Serikali za Mitaa zilifutwa. Mkoa uliongozwa na Mkuu wa Mkoa, akifuatiwa na Mkurugenzi wa Maendeleo wa Mkoa (Regional Development Director) ambaye alisimamia wakuu wa idara mbalimbali.
Pitia: Kuitwa kazini Mara
Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu
Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.Taarifa Muhimu kwa Waombaji
Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal