What's new
Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Songwe

Ajira Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Songwe 05 Novemba 2024

Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Songwe Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.

Kuitwa kazini utumishi na ajira portal
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02 Septemba 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.
Pitia: Kuitwa kazini Kilimanjaro
Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Songwe

Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu​

Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.

Taarifa Muhimu kwa Waombaji​

Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.

Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal

Kuhusu Songwe: Songwe ilianzishwa kutoka mkoa wa Mbeya, baada ya serikali ya awamu ya nne chini ya Rais wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya M. Kikwete, kutangaza kuanza mchakato wa kuanzisha mkoa na wilaya mpya mnamo tarehe 18 Oktoba, 2015. Baadaye, mrithi wake Rais Dkt. John Magufuli alitangaza kuanzishwa kwa mkoa wa Songwe katika Gazeti la Serikali (GN) Na. 461 la tarehe 29 Januari, 2016.
Author
Gift
Downloads
1,313
Views
1,932
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Back
Top