What's new
Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Wilaya ya BAHI

PDF Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Wilaya ya BAHI 29 Octoba 2024

Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Wilaya ya BAHI Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024 PDF iko kwa juu.

Kuitwa kazini utumishi na ajira portal
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 18 Octoba 2023 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.
Pitia: Kuitwa kazini Mpwapwa
Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Wilaya ya BAHI

Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu

Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.

Taarifa Muhimu kwa Waombaji

Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.

Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal

Kuhusu Bahi: Wilaya ya Bahi ni mojawapo kati ya Wilaya saba za Mkoa wa Dodoma. Wilaya hii ilianzishwa rasmi mwaka 2007 na ina jumla ya kilometa za mraba 5,948 ikiwa na Tarafa 4, Kata 22, Vijiji 59 na vitongoji 553. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Wilaya ina watu 221,645 kati yao wanaume ni 105,975 (47.8%) na wanawake ni 115,670 (52.2 %).
Author
Gift
Downloads
657
Views
999
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Back
Top