Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Wilaya ya Chamwino Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Pitia: Matokeo ya darasa la saba 2024
Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.
Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal
Kuhusu Chamwino: Wilaya ya Chamwino ni moja ya wilaya saba za Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania. Inapakana na Wilaya ya Chemba upande wa kaskazini, Mkoa wa Manyara, Wilaya ya Kongwa na Wilaya ya Mpwapwa upande wa mashariki, Mkoa wa Iringa upande wa kusini, na Mkoa wa Singida, Wilaya ya Bahi na Wilaya ya Dodoma upande wa magharibi.
Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02 Septemba 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.Pitia: Matokeo ya darasa la saba 2024
Taarifa Muhimu kwa Waombaji
Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.