Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal, Utumishi wa Umma, Serikalini | Taasisi Mbalimbali TRC, GPSA, TAFIRI, TGDC,TBC yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 09/11/2024, orodha kamili ya majina ya waliotwa kufanya usaili wa kuandika yapo chini.
2. Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA)
3. Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi (TAFIRI)
4. Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC)
5. Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.
Soma zaidi: Nafasi za kazi Shirika lA Maternity Africa
Lakini hiyo siyo yote! PSRS pia inatoa rasilimali muhimu kwa waajiri, ikitoa ushauri wa kitaalam kuhusu masuala yanayohusiana na ajira ili kuhakikisha kwamba kila uamuzi wa kuajiri unachangia katika kuunda nguvu kazi ya utumishi wa umma yenye ufanisi hai.
Matokeo ya usaili yaliyo tangazwa
1. Shirika la Reli Tanzania (TRC)2. Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA)
3. Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi (TAFIRI)
4. Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC)
5. Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.
Usaili wa Kuandika Ajira Portal
- MECHANICAL TECHNICIANS II
- TECHNICIAN II (SIGNAL & TELECOMMUNICATION)
- ARTISAN II (PLUMBING & DRAINAGE)
- ASSISTANT CLEARING AND FORWARDING OFFICER GRADE II
- TECHNICIAN II - RESEARCH TECHNICIAN – FISHERIES
- TECHNICIAN II - RESEARCH TECHNICIAN –AQUACULTURE
- TECHNICIAN II (GEOCHEMISTRY)
- TECHNICIAN II (GEOLOGY)
- TECHNICIAN II (SIGNAL & TELECOMMUNICATION)
- TECHNICIAN II (TELECOMMUNICATION)
- YARD MASTER II
- ARTISAN II (ELECTRICAL)
- ELECTRICAL TECHNICIANS II
- LABORATORY TECHNICIAN II - LABORATORY TECHNOLOGY
Soma zaidi: Nafasi za kazi Shirika lA Maternity Africa
Kwanini Uchague PSRS?
PSRS imejikita katika kutumia mbinu za kisasa za kuajiri zinazozingatia usawa, uwazi, na sifa. Hii ina maana kwamba unapoomba nafasi, unaweza kuamini kwamba ujuzi na sifa zako zitaonekana, bila kujali asili yako.Lakini hiyo siyo yote! PSRS pia inatoa rasilimali muhimu kwa waajiri, ikitoa ushauri wa kitaalam kuhusu masuala yanayohusiana na ajira ili kuhakikisha kwamba kila uamuzi wa kuajiri unachangia katika kuunda nguvu kazi ya utumishi wa umma yenye ufanisi hai.