Mwongozo wa kuomba ufahili wa Chevening China kwa watanzania 2025-2026. Huu ni ufadhili unaolipia kila kitu (fully funded scholarship) unaotolewa na Serekali ya Uingereza kupitia ofisi yake ya Mambo ya nje, Umoja wa madola na maendeleo, pamoja na vyuo vikuu vya Uingereza vilivyoingia makubaliano na program hii. Ufadhili huu ulianza rasmi mwaka 1983 na mpaka mwaka 2023, wanufaika 57,000 kutoka nchi mbalimbali wamenufaika na ufadhili huu.
Pakua PDF hapo juu
Pakua PDF hapo juu