Mwongozo wa Kuomba Ufadhili wa Erasmus Mundus Scholarships Tanzania 2025-2026. Erasmus Mundus Scholarships ni miongoni mwa miradi ya Erasmus+ yenye lengo lakusaidia sekta ya Elimu, mafunzo, michezo na vijana inayofadhiliwa na Umoja wa Ulaya(EU). Ufadhili huu unatoa fursa ya kusoma Shahada ya Uzamili (Masters) katika vyuokadhaa vya Ulaya au nje ya Ulaya (vyuo vyenye mafungamano na vyuo vya Ulaya). Maranyingi Master’s kupitia ufadhili huu hutolewa kwa mashirikiano ya vyuo visivyopunguavitatu vya Ulaya (au nje ya Ulaya) na ndio maana Masters hizi huitwa Joint Master’s(Erasmus Mundus Joint Masters-EMJM).
Pakua PDF hapo juu.
Pakua PDF hapo juu.