Nafasi za kazi Kampuni ya Coca-Cola Kwanza Tanzania Desemba 2024

Ajira Nafasi za kazi Kampuni ya Coca-Cola Kwanza Tanzania Desemba 2024 27-12

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Coca-Cola Kwanza Ltd inakuletea nafasi ya kipekee katika Idara ya Uzalishaji! Tunatafuta mtu mwenye kipaji na uzoefu wa sekta ya uzalishaji, hasa kwenye Mpango wa Uzalishaji wa Jumla (Total Production Plan), kwa ajili ya nafasi ya Meneja wa Mipango. Nafasi hii itakuwa jijini Dar es Salaam, na atakayechaguliwa ataripoti moja kwa moja kwa Mkurugenzi wa Uzalishaji.
Nafasi za kazi Kampuni ya Coca-Cola Kwanza Tanzania Desemba 2024

Ikiwa una ujuzi unaohitajika na unatafuta changamoto mpya, hii ni nafasi yako!
Author
Gift
Downloads
778
Views
2,419
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Similar resources Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom