Nafasi za Kazi MDH Novemba 2024 | Ajira Mpya 332 za Kujitolea

Ajira Nafasi za Kazi MDH Novemba 2024 | Ajira Mpya 332 za Kujitolea 08 Novemba 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Hizi hapa Nafasi za Kazi MDH Novemba 2024 | Ajira Mpya 332 za Kujitolea Maombi yawasilishwe katika ofisi za halmashauri husika kabla ya tarehe 15 Novemba, 2024.

Management and Development for Health (MDH) ni shirika lisilo la kiserikali ambalo lengo lakekuu ni kuchangia na kushughulikia vipaumbele vya huduma za Afya kwa umma kwa ajili ya ustawiwa jamii. Vipaumbele hivi ni pamoja na kuzuia kuenea kwa magonjwa ya kuambukiza kama vileVVU/UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria, kutekeleza huduma za Afya ya uzazi kwa wakina mama,vijana na watoto wachanga, na kusimamia afua za lishe. Pia kutoa huduma za kuzuia magonjwayasio ya kuambukiza kama vile saratani ya mlango wa kizazi, shinikizo la juu la damu na elimukuhusu mtindo bora wa maisha, pamoja na uimarishaji wa mifumo ya Afya.
Nafasi za Kazi MDH Novemba 2024 | Ajira Mpya 332 za Kujitolea

MDH inaamini na inafanya kazi kwa ushirikiano wa wadau wa maendeleo wa ndani na nje ya nchi, Wizara ya Afya, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wenye Ulemavu, Wazee na Watoto, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), mashirika ya wafadhili mbalimbali, taasisi za kitaaluma na zisiszo za kitaaluma, washirika wa utekelezaji, asasi za kiraia, mashirika ya kijamii, kidini na taasisi nyinginezo.

MDH kwa kushirikiana na Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam na Hospitali za Rufaa inawakaribisha wananchi wenye vigezo kuomba nafasi zilizo ainishwa kwenye PDF hapo juu za kazi za kujitolea.
Author
GiftVerified member
Downloads
2,746
Views
4,672
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Similar resources Most view View more
Back
Top Bottom