Hii hapa Orodha ya Majina Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal (PSRS) | Taasisi Mbalimbali | Kada Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 17 Agosti 2023 na 28 Mei 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.
Pitia: Kuitwa kazini Mtwara
Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.
Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal
Hivyo basi, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali kilicho na hadhi ya kuwa Idara huru, kilichoanzishwa mahsusi ili kurahisisha mchakato wa kuajiri wafanyakazi katika Utumishi wa Umma. Sekretarieti ya Ajira ilianzishwa chini ya Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002, kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007, kifungu cha 29(1).

Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu
Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.Taarifa Muhimu kwa Waombaji