TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 02-04-2025 AJIRA PORTAL

TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 02-04-2025 AJIRA PORTAL UTUMISHI

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Leo, Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini utumishi na ajira portal. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-09-2024 na tarehe 24-02-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 02-04-2025 AJIRA PORTAL


Pakua PDF hapo juu
Author
Gift
Downloads
1,538
Views
25,789
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Similar resources Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom