Search results

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. F

    Kuchelewa kutuma documents kwa dk chache

    Hapana walinijibu tu kwa njia ya email basi Sasa kwenye kuwajib ndo nikachelawa kwa dk hizo
  2. F

    Kuchelewa kutuma documents kwa dk chache

    habari mimi ni mgeni kidog kwenye mambo ya kuapply kazi Sasa Kuna tangazo moja la intern kwenye kampuni ya logistics Sasa mimi nilifanya application kwa kuchelewa dk 10 maana walisema "We appreciate your prompt response upon receiving this email within 24 hours". Walisema hviii na mimi email...
Back
Top Bottom