Search results
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
-
Notes za Walimu au Mwalimu Daraja la III B na III C CT zote
@Sia Samahani kiongozi, mimi najaribu ku upload(kuedit- Maana iliyokuwepo haikuwa certified) transcript ya certificate inagoma na mfumo hauniletei option ya ku upload hiyo transcript badala yake inakuja option ya cheti tu kama inavyoonekana hapo kwa picha👇... Nimeenda stationary pia... -
Kuhusu usaili utumishi na data base
Samahani kiongozi, Hivi ikiwa nilifanya usaili wa Tutorial Assistant nikafanikiwa kufika Oral lakini sikupata kazi hiyo. Je, jina langu linabaki katika kanzi data za utumishi?